Posts

Showing posts from November, 2024

NCHI ZENYE WATU WENGI DUNIANI

 Nchi 10 zenye watu wengi zaidi duniani 1. INDIA -Ina watu billion 1.45 2. CHINA-billion 1.42 3. UNITED STATES-million 339 4. INDONESIA -million 281 5. PAKISTAN-million 251 6. NIGERIA-million 233 7. BRAZIL-million 216 8. BANGLADESH -million 173 9. RUSSIA-million 145 10. MEXICO-million 131

WASANII WA MUZIKI WENYE IDADI KUBWA YA WAFUASI YOUTUBE

 Wasanii wa muziki wenye idadi kubwa ya Wafuasi (Subscribers) kwenye mtandao wa YouTube barani Afrika. 1. Mohamed Ramadan πŸ‡ͺπŸ‡¬ (15.7 million) 2. Saad Lamjarred πŸ‡²πŸ‡¦ (15.4 million) 3. Soolking πŸ‡©πŸ‡Ώ (10.7 million) 4. Diamond Platnumz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (9.47 million) 5. Tamer Hosny πŸ‡ͺπŸ‡¬ (8.7 million) 6. Hassan Shakosh πŸ‡ͺπŸ‡¬ (8.54M) 7. Zouhair Bahaoui πŸ‡²πŸ‡¦ (7.71M) 8. Balti πŸ‡ΉπŸ‡³ (7.08M) 9. Amr Diab πŸ‡ͺπŸ‡¬ (6.05M) 10. Sherine πŸ‡ͺπŸ‡¬ (5.58M) 11. Rayvanny πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (5.28M) 12. Burna Boy πŸ‡³πŸ‡¬ (5.03M) 13. Ahmed Saad πŸ‡ͺπŸ‡¬ (4.9M) 14. Hamza Namira πŸ‡ͺπŸ‡¬ (4.79M) 15. Harmonize πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (4.78M) 16. Fally Ipupa πŸ‡¨πŸ‡© (4.51M) 17. Rema πŸ‡³πŸ‡¬ (4.51M) 18. Mohamed Hamaki πŸ‡ͺπŸ‡¬ (4.29M) 19. Tyla πŸ‡ΏπŸ‡¦ (4.23M) 20. Davido πŸ‡³πŸ‡¬ (4.16M) 21. CKay πŸ‡³πŸ‡¬ (4.1M)

JAMAA AREKODI VIDEO AKIFANYA MAPENZI NA WANAWAKE 400 TOFAUTI

Image
 Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye Ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang. Ebang ambaye ni Baba wa Familia ya Watoto sita, tayari amekamatwa kwa kosa la kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake hao ambao wengine ni Wake za Watu Mdogo Mke wa Kaka yake, Binadamu yake, Dada wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo. Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video hizo ni Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchi hiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo...

MUIGIZAJI GRACE MAPUNDA AFARIKI DUNIA

Image
 TANZIA: Grace Mapunda mu igizaji maarufu Tanzania amefariki dunia kwa mujibu wa taarifa zilitolewa na wasanii wenzie.  Kabla, miezi iliyopita afya yake ilionekana kubadilika na kuwapa wasiwasi wanaomjua wakiwemo mashabiki wake Grace enzi za uhai wake alijizolea umaarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza Mungu amlaze mahali pema peponi Pumzika kwa amani GRACE MAPUNDAπŸ™πŸ•ŠπŸ•Š

MWAMBIENI FEITOTO

Image
 Mwambieni FEI TOTO KUWA:-  1. Kiwango chake na cha Pacome havitofautiani sana. Aongeze bidii kidogo tu atamkuta na Kumpita. 2. ⁠Mkumbusheni Fei Kuwa kuna club kubwa mbili tu hapa Nchini, Simba na Yanga. Akitaka kuonekana ukubwa wake lazima acheze moja ya club hizi. 3. ⁠Mwambieni kadri mashabiki wanavyokuimba vizuri huku nje humwongezea Mchezaji kujiamini na kufuatiliwa kwa ukaribu na club nyingine. Hii ndio faida kubwa toka kwa mashabiki kwenda kwa mchezaji. 4. ⁠Kwambieni Fan Base inayoweza kumuuza Fei Toto nje ya Mipaka ya Tanzania ni aidha ya Yanga au ya Simba.  5. ⁠Fan Base ya Yanga kashatibuana nayo siku akifanikiwa kupiga Press awaombe Msamaha hakuna atakachopungukiwa ili wasiendelee kumtumkana hii inampunguzia Mchezaji kujiamini. 6. ⁠Mwambieni pale Simba kuna Fursa imejitokeza. Kiungo wao mpendwa Chama Wamemsimamisha, najua wapo Sokoni kutafuta Mbadala. Aongee na wakala wake aende Pale Simba awaombe wakaongee na Azam wavunje mkataba wake ahamie Simba chap, kuna fai...