MUIGIZAJI GRACE MAPUNDA AFARIKI DUNIA
TANZIA: Grace Mapunda mu
igizaji maarufu Tanzania amefariki dunia kwa mujibu wa taarifa zilitolewa na wasanii wenzie.
Kabla, miezi iliyopita afya yake ilionekana kubadilika na kuwapa wasiwasi wanaomjua wakiwemo mashabiki wake
Grace enzi za uhai wake alijizolea umaarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza
Mungu amlaze mahali pema peponi
Pumzika kwa amani GRACE MAPUNDA🙏🕊🕊

Comments
Post a Comment